WSF Bulletin October 1st, 2007

Mwandamano wa jukwaa la jamii staarabu la dunia 2008

Mwito wa tamasha la hatua na mkusanyiko tarehe 26 Januari

Sisi ni milioni ya wanawake na wanaume,mashirika,mawasiliano,vikundi na mwungano wa kibiashara kutoka sehemu mbalimbali ya dunia.Tunatoka kwa vijiji,ujirani kimataifa,vitongoji na vijiji vikuu.Sisi ni watu walio na rika,utamaduni na imani tofauti lakini tunaungana katika imani thabiti ya kuwa

DUNIA NYINGINE INAWEZEKANA
.

Kwa utajiri wa wingi na tofauti na pia mabadilisho na pendekezo letu tunapambana dhidi ya uliberali wa kisiasa,vita,ukoloni,ubaguzi wa rangi na utawala wa kiume zinazoleta vita,udhalimu,utengaji,umaskini,njaa na uharibifu wa mazingira na ambazo zinawanyima watu haki za kibinadamu.

Kwa miaka mingi tumekuwa tukipambana na kujenga maandamano  mapya,utamaduni la mashirika mpya na jitihada kutokea kiwango cha mitaa na kimataifa,hasa katika mwandamano na hati ya makubaliano ya jukwaa la jamii staarabu la dunia ambamo hii mwito inatokea.

Tukizingatia haja ya kuipanga ajenda yetu na kupatia nguvu hizi maelfu  za uthibitisho na pingamizi,tunajitolea kuimarisha usawa wa uhusiano katika mapambano,kampeni na ujenzi wa mabadiliko na mwungano wetu.

Tunajitolea kutayarisha juma la mpangilio litalokamilika na siku ya tamasha la hatua na mkusanyiko tarehe 26 januari.

Katika tofauti letu iliyo nguvu yetu,tunawaalika wote kujiunga nasi katika wiki hili wakiwa na mpangilio wa shughuli,tukio na mawasiliano mwema wakizingatia  lengo la tamasha hili na katika njia watakacho chagua.

TENDA KWA UMOJA KWA SABABU YA DUNIA NYINGINE

Kwa maelezo zaidi utando ni http://www.wsf2008.net/
Kulitia sahihi mwito huu,soma historia fupi inayoeleza kuhusu tamasha hili na jua jinsi ya kushiriki kuitayarisha.



World Social Forum Office in São Paulo
Address: rua General Jardim, 660 - 7th floor - São Paulo - SP - Brazil
Postal code: 01223-010
Website:
www.worldsocialforum.org

WSF Bulletin
Translation/collaboration: Brenda Lare.

In order not to receive the bulletin anymore, send an e-mail to gerente@forumsocialmundial.org.br. Don´t forget to write on the "subject" spot: Cancel. This bulletin is only informative. Please, don´t answer this message.